Hannat15 Member Joined Jul 6, 2016 Posts 33 Reaction score 16 Jul 14, 2016 #1 Naomba msaada na ushauri, nikiingia kwenye period naumwa na tumbo sana mpaka kutapika. Pia siku zangu zinabadilika nikiingia tarehe 2 next month napata tarehe nyingine kuanzia 8 zinaendelea mpaka nafika tarehe 30. Naomba kujua nini tatizo.
Naomba msaada na ushauri, nikiingia kwenye period naumwa na tumbo sana mpaka kutapika. Pia siku zangu zinabadilika nikiingia tarehe 2 next month napata tarehe nyingine kuanzia 8 zinaendelea mpaka nafika tarehe 30. Naomba kujua nini tatizo.
J Johede Senior Member Joined Jul 5, 2016 Posts 110 Reaction score 68 Jul 14, 2016 #2 Kuumwa na tumbo na kuharisha ni kawaida ila kupitiliza inachangiwa na mambo mengi ikiwemo msongo wa mawazo
Kuumwa na tumbo na kuharisha ni kawaida ila kupitiliza inachangiwa na mambo mengi ikiwemo msongo wa mawazo
Illuminata Rodgers JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,845 Reaction score 2,024 Jul 14, 2016 #3 Pole