Huyu jamaa badala akae chumbani ajifungie kutafakari eti anakuja kuuliza maswali! Very, very hopeless!Utakua na division zero hivyo anakuona bolizuzu
Unaona sasa.Umeleta ugoro wako unapewa jibu na maoni unayumbayumba.Merde!
Y dessert f TBH yr rsUnaona sasa.Umeleta ugoro wako unapewa jibu na maoni unayumbayumba.Merde!
And,what do you mean?
KamuulizeHuwa simuelewe kabisa demu huyu ,yaani tukiwa class ikiwa nimechelewa yaani ile naingiza tu kichwa akiniona lazima aanze kucheka....
Hivi huwa anamaana gani!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kesho ingiza mguu utapata Matokeo