GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Penati ni halali labisa kwani ni Upumbavu tu wa Mabeki wetu ( hasa aliyesababisha Penati Hussein Kazi kutokuwa na Akili ya kufanya Tactical Tackling kwa Mchezaji mzoefu na mwenye Akili Kubwa za Kimpira ) Aziz K Burkinabe Finest.ambaye nina Ushaidi ilikuwa aje Simba SC ila Tajiri Kibyongp akaichungulia Hela yake.
Goli la Pili wala siyo Offside ( na hapa nawataka nendeni au fuatilieni Sheria za Offside ili mjifunze ) na kilichotokea pale ni Uwezo mkubwa wa Kiakili wa Mfungaji Gwede dhidi ya Uwezo mdogo na Ukabaji wa Kimazoea walionao Mabeki wetu kisha akamchambua Kipa Kiuweledi na Kutufunga la Pili.
Goli la Simba SC la Fred nalo ni zuri kwani kalifunga katika Mazingira magumu japo Simkubali ndani ya Simba SC. Wanasimba Wenzangu tukubalini tu kuwa kwa sasa Yanga SC wapo bora zaidi yetu kwa kila Kitu japo juzi tuliaminishwa Kipuuzi kuwa Sisi ni Timu Tajiri EAC wakati hata tu Kuwalipa vyema Wachezaji wetu bado hatuwezi ( yaani tunademadema ) tu.
Wana Yanga SC wote ninaendelea Kuwapongezeni kwa Kutufunga mtakavyo na kila wakati. Hakika mnastahili sana.
Jitahidi sana kama Wewe ni Mkristo na leo una nafasi basi uende Kanisani Kusali kwani Mungu nidiyo kila Kitu sawa?