Nikikaa muda mrefu nawashwa sana makalio, hii imekaaje?

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,688
Niaje wazeiyaaah

EBANA SAWA :
Bila shaka nimefanya kitu inaitwa Right content into the wrong group..
Just because wengi mko ACTIVE zaidi huku....

Sasa mazee leo sina story za demu wangu wala wanaume wa mikoani...

Tatizo langu binafsi ya kiafya tuu..
Nikikaa muda mrefu chini (kwenye Kiti) nawashwa sana marocker yangu...

Yanawasha mpaka Natamani nivue hadi Boxer nikajiparue parue ukutani...

Hii imekaaje.. Kuna mwingine huwa anawashwa makalio kama mimi au nitakua na tatizo mazee....

Yaan Nikikaa kama nusu saa na kuendelea chini Matakko yanaanza kuniwasha kishenz yan...

Mliosomea Medicine jamani...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Nenda hospital daktari atafanya examination utajua kwa hakika nini kinakusibu.

Kama alivyosema mdau hapo juu inawezekana minyoo, au labda wewe unatumia aina fulani ya cream sasa inakuletea madhara ukikaa na kutengeneza joto. Kingine kuwa muwazi ni makalio yanawasha au sema tu ni anus itching maana hii mara nyingi ni minyoo. Pole
 

Attachments

  • 1477235223231.jpg
    5.6 KB · Views: 92
Pole kamuone daktari mkuu kwa ushauri na vipimo zaidi.
 
Fua boxer zako kijana ikiwezekana uwe unazipiga pasi

Tatizo lako kwa namna moja au nyingine inatokana na kuvaa boxer muda mrefu pia kuvaa boxer mbichi mara kwa mara
 
Pia uwe unafua boxer zako.na ukifua uhakikishe zinakauka
 
Kunywa dawa za minyoo mkuu.I mean it
 
Fua boxer zako kijana ikiwezekana uwe unazipiga pasi

Tatizo lako kwa namna moja au nyingine inatokana na kuvaa boxer muda mrefu pia kuvaa boxer mbichi mara kwa mara

Hapo kwenye Boxer mzee umenikamata....
Kwa WASTANI navaa Boxer moja kwa cku tano, na napofua nazianika ndani getto zinakauka taratibu...
Kuanika nje aibu Mwanangu....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…