Nikikufata PM tafadhali nipokee

Coming soon...
Baharia analizwa!
 
Huu ujumbe kama huu unakuhusu. Mtoa mada ameniwasilishia ujumbe kwako
[emoji1] [emoji1] si kweli huyoo,mleta mada kasema after huu Uzi ndyo atamuibukia pm kushusha mistari zaidi na alisema ni siri yake juu ya huyo mrembo
 
Siku hizi ni zama za ukweli na uwazi pm pm nini, mwaga mchele wote hapa mbona kuku wachache unahofia nini[emoji1] [emoji1]

Hayo maombi sasa...
Ntakufungulia Uzi wako kabsa

Na kwa msisitizo ntauweka jukwaa la siasa [emoji23][emoji23]
 
Nakupa offer ya kukupangishia nyumba nzima huku Mbezi beach plus usafiri binafsi.
Hahaa,bonge la offer ila ahsante nimeridhika na huku Buza kwetu nishazoea daladala zetu za kuingilia dirishani ili uwahi seats[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…