Nikikukaribisha dinner lengo ni uwe mpenzi wangu, kama una maswali au chochote sema, niko straight!

Nikikukaribisha dinner lengo ni uwe mpenzi wangu, kama una maswali au chochote sema, niko straight!

Mwanamwaiche

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2022
Posts
665
Reaction score
968
Habari wanajukwaa nimemtolea mdada uvivu jana nikamchana mazima kama inavyojieleza hapo juu, nikuita Kwa huu mwaliko nakutaka uwe mpenzi wangu karibu Kwa maswali au ujumbe wowote unajieleza kwa uhuru wa kikatiba. Karibu jisikie huru sinaga ubabaifu so be free. Mdada akapagawa hajaamini akapatwa na aibu.

Nikamwambia tulia endelea kula kuku na savanna kwanza, Kwa mfadhaiko huu achana na hio ishu kula savanna na kuku kwanza Hilo tutalimaliza kesho kajipange kwanza.

Tukaagana kwa denda na mwendo wa mpe nyonyo kama zake nasubiria kikao Cha Baraza Leo jioni.

Msiimamo wangu ndio huo nawapa makavu, naandaa kuku mzima na savanna mbili kikao kinaiasha baada ya lisaa basi.

Tunaendelea na maisha na tunaendelea na kazi.

Ukiwa na hela ya date usiwe mnyonge ongea straight.

Mshakutana na hio miondoko ya kuondoka na hisia za mtu Kwa kuwa straight?

Karibu Kwa simulizi.

Kataa uzuzu tulipe Kodi ila Kodi halali na kiwango stahimilivu sio haya matozo ya yayaayaaayaaa!!!!
 
Back
Top Bottom