funluverx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 480
- 343
Tulikuwa wapenzi miaka kadhaa nyuma.
Tukaachana kwa amani.
Majuzi tukakutana ghafla tena,
Yeye akiwa Kaolewa na Vitoto viwili vizuuriii pacha.
Kiukweli kapendeza hadi Udenda unanichuruzika.Ila, nikawa nashindana na shetani wa matamanio,
Shetani shindwa!!
Lawama kibao ananimwagia;
"una tabia mbaya, umenitenga,sipendi, tutafutane bwana".
Hiyo ni baada ya kubailishana namba.
Siku sina hili wala lile napata simu yake na baada ya salamu,
"Oya mbona unazingua jamaa (Mume wake) hayupo wewe tutafutane mwenzako nimekumiss sana.
Kisha, sikiliza;mimi sijali kuwa una mtu au huna, jua tu sasahivi nafanya-timing bwana wangu akiwa anakaribia kurudi
Dar nitakupa mambo hadi nikuzalie mtoto" hatastukia na yote niachie mimi.
Sitaki maelezo, Simu tiiiittiiiii.
Hadi nimepigwa ganzi baada ya kuupata ujumbe huu.
Yaani achilia mbali dhambi ya kuchepuka nami yeye anataka eti, tuzae.
Wanawake mungu anawaona.