Nikikumbuka hili tukio udogoni nacheka sana

Nikikumbuka hili tukio udogoni nacheka sana

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka wanaJF,

Tulikuwa na katabia fulani na marafiki zangu kuandika maandishi kwenye vioo vya magari yaliyochafuka na vumbi.

Sasa kuna siku gari la TANAPA lilipaki kitaa yani limechafuka na vumbi kichizi na mimi hulka yangu ni usafi toka udogon. Nilimaindi nikaenda nakuandika NIOSHENI AISEE MBONA NYIE MNAOGA? Kumbe dereva alikuwa kaniona nilishtukizia buti kali la kalio nilisepa kuelekea upande wa akina Lemaaa na Lauuu.
 
Back
Top Bottom