Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] hatimaye yaliyo pita yawa ndweleNilipigwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Sarpong sababu ya kikungoja wewe,kumbe hata danadana hujui kupiga,
Moringa tukaambiwa alikuwa anatakiwa PSG leo yupo Namungo.
GSM mna dhambi sana
Mpumbavu anahitaji akili ndogo Sana kudanganywa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda PSG ya Buza.
weka picha tuoneNilipigwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Sarpong sababu ya kikungoja wewe,kumbe hata danadana hujui kupiga,
Moringa aka Falcao, tukaambiwa alikuwa anatakiwa PSG leo yupo Namungo.
GSM mna dhambi sana