Nikikumbuka UKIMWI ilivyochukua ndugu zangu kumi wote na familia ikamkosa Mama na Baba, nakuomba Trump tusamehe kwa hili

Nikikumbuka UKIMWI ilivyochukua ndugu zangu kumi wote na familia ikamkosa Mama na Baba, nakuomba Trump tusamehe kwa hili

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi.

Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive.

I lost 8 siblings and two parents .

Aisee itakuwa noma
 
Wataalamu feki
Kwanini wasitengeneze ARV mbona jirani wanatengeneza ?
Sisi hata vyoo tunaomba
Trump anawaamsha mjitegemee
Ombaomba imewaharibu
Ipo siku hata mikopo mtanyimwa
 
Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi.

Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive.

I lost 8 siblings and two parents .

Aisee itakuwa noma
Trump tunamlaumu bure.

Tujilaumu sisi Wabongo na Gavo ambapo tumeshindwa kujitegemea kwenye mambo ya msingi kama Afya.

Badala yake tunafanya anasa huku tukisubiri misaada ya kutupatia maendeleo.
 
China, Russia na Mwarabu bila shaka watakava hilo pengo.!

Pia ni aibu kulilia misaada ya mashoga.
 
Amkeni nyie wapumbavu mjitegemee
Muda wa kuomba omba umeisha
 
Hii sentence ya mwisho umeandika "ipo siku mtaombwa nini"?

.....Ila Nyi vijana wa 2000 ni wa hovyo sana
Mbona unanilisha maneno?
Wapi nimeandika hivyo?
Aisee unajua kubadili maneno
Tukiacha hayo mimi sio kijana wa Y2K
 
Vipi malaria
mkuu acha kabisa malaria ni hatari kila mwaka inaua sio chini ya watu 200M, me mwenyewe imenitesa sana tokea mdogo nimefanyiwa BT za kutosha make inaleta Anaemia, namshukuru MUNGU tokea 2016 sijafanya BT
 
Jinsi CCM wanavyopendaa mserereko ,wapo tayari awamu hii washikwe Tako na Trump ilii tu wasikoseee hzo ARV 🤔
 
Miradi ya ARV haijaathirika...

Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi.

Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive.

I lost 8 siblings and two parents .

Aisee itakuwa noma
 
Back
Top Bottom