Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wakati wanasajiliwa kutoka Coast Union hawa mabeki mmoja akienda Simba na mwingine Yanga wachambuzi walichonga sana, eti Ame Ali ndio alikuwa beki wa kweli na Nondo alikuwa anapita kwenye kivuli cha Ame Ali.
Bakari wakati anahamia Yanga aliwakuta mabeki haswa. Lamire Moro akiwa captain na beki kisiki akiwa na goals 4 mkononi.
Baada ya muda kupita haijulikani huyo Ame allpotelea wapi wakati mwenzake kwasasa ni beki kisiki kwa Club yake na timu ya Taifa. Hongera sana Mwamnyeto umejua kuwashushua wachambuzi maandazi.