Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Tatizo sio uhuru wa kutoa maoni,bali ni pale hawa wachambuzi wetu uchwara wanapotoa hitimisho kuwa fulani ataishia hivi au vile bila kuweka akiba ya maneno. Kiufupi wachambuzi wetu wanaongozwa sana na unazi,chuki na husda.Kila MTU ana Uhuru wa kutoa maoni Mkuu. Pia hakuna binadamu anaejua kesho atakuwa juu au chini kwenye kile anachokifanya,
Mfano tu vipi kama yule aliyesajiliwa na Simba angekua kwenye peak kuliko Huyo aliyesajiliwa Yanga.
NB: Ndo maana kila timu inamchezaji inayemtegemea, hawawezi kuwa sawa timu nzima.
Beki mmoja alisajiliwa Simba kutoka Coastal Union kipindi kimoja wakati Mwamnyeto anasajiliwa Yanga.Ame Ali ndio nani? simjui kabisa.
Ibrahim Ame bana, alienda Mtibwa sasa sijui yuko wapi KMC or so.Ame Ali ndio nani? simjui kabisa.
Sio kweli usiongee kiushabikiKwa Tanzania, Yanga na Mtibwa wanajitahidi sana kuwakuza na kuwaimarisha wachezaji wenye vipaji.
Huku Azam na simba nazo zikiongoza kwa kuua vipaji vya wachezaji wanao wasajili kwa mbwembwe na mikwara mingi.
Katika wachambuzi mahiri ambao wanaitendea haki kazi yao ni mzee wa data Ramadhan Mbwaduke. Wengi nawaona ni wanaendeshwa na mihemko pamoja na kupiga ramli tu.Wakati wanasajiliwa kutoka Coast Union hawa mabeki mmoja akienda Simba na mwingine Yanga wachambuzi walichonga sana, eti Ame Ali ndio alikuwa beki wa kweli na Nondo alikuwa anapita kwenye kivuli cha Ame Ali.
Bakari wakati anahamia Yanga aliwakuta mabeki haswa. Lamire Moro akiwa captain na beki kisiki akiwa na goals 4 mkononi.
Baada ya muda kupita haijulikani huyo Ame allpotelea wapi wakati mwenzake kwasasa ni beki kisiki kwa Club yake na timu ya Taifa. Hongera sana Mwamnyeto umejua kuwashushua wachambuzi maandazi.
View attachment 2743334View attachment 2743335
Sasa hivi pia kuna Godlisten Muro,jamaa anakuja kasi sana.Katika wachambuzi mahiri ambao wanaitendea haki kazi yao ni mzee wa data Ramadhan Mbwaduke. Wengi nawaona ni wanaendeshwa na mihemko pamoja na kupiga ramli tu.
Usinibishie! Nina mifano hai.S
Sio kweli usiongee kiushabiki
Ame ali hakua beki ni foward aliewahi kucheza azam na mtibwa nafikiri unamuongelea ibrahim ameWakati wanasajiliwa kutoka Coast Union hawa mabeki mmoja akienda Simba na mwingine Yanga wachambuzi walichonga sana, eti Ame Ali ndio alikuwa beki wa kweli na Nondo alikuwa anapita kwenye kivuli cha Ame Ali.
Bakari wakati anahamia Yanga aliwakuta mabeki haswa. Lamire Moro akiwa captain na beki kisiki akiwa na goals 4 mkononi.
Baada ya muda kupita haijulikani huyo Ame allpotelea wapi wakati mwenzake kwasasa ni beki kisiki kwa Club yake na timu ya Taifa. Hongera sana Mwamnyeto umejua kuwashushua wachambuzi maandazi.
View attachment 2743334View attachment 2743335
Haitwi ame ali huyu ni ibrahim ali ,ame ali ni foward aliecheza azamBeki mmoja alisajiliwa Simba kutoka Coastal Union kipindi kimoja wakati Mwamnyeto anasajiliwa Yanga.