Nikila asali mbichi tumbo linauma. Nifanyeje?

Memory

Senior Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
106
Reaction score
37
WanaJF Doctors,
Nasikia Asali mbichi ni tiba ya mambo mengi mhimu ya mwili lakini mimi nikitumia tumbo linauma. Nifanyeje?
 
Changanya asali na maziwa, halafu lete habari mpya.
 
WanaJF Doctors,
Nasikia Asali mbichi ni tiba ya mambo mengi mhimu ya mwili lakini mimi nikitumia tumbo linauma. Nifanyeje?
Mimi pia, tena maumivu yake ni kama kuna moto
 
FaizaFoxy , dawa ya minyoo nimekunywa hata mwezi haujaisha.... nimeweka asali na maziwa leo lakini mambo bado vile vile ...
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kwa Dar,asali mbichi inapatikana wapi?Naitafuta sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…