lizzy3639
Member
- Nov 6, 2015
- 42
- 25
Ndugu zangu wenye taaluma ya afya ya binadamu, naomba kuulizwa swali dogo tu ambalo limenitatiza kwa muda mrefu sasa bila majibu.
Swali:
Kila ninapokula pilipili au kinywaji cha baridi sana haswa Bia inanipelekea kupata kwikwi, je kuna uhusiano gani ya vitu hivyo tajwa na kwikwi na je kiafya kuna madhara yoyote au ni kitu cha kawaida? Na kama cha kawaida mbona wengine hakiwatokei?
Naomba msaada wenu
Asante