Ngoja waje na mimi nijue ilishawahi kunitokea
yataje sasa hayo mengi sanaKuna madhara mengi sana unapo tumia bia acha mara moja tafadhali.
True mkuu...ila sio bia kwamba ndio ilileta kwikwi, hapana...hapo kwenye pilipili (mara nyingi tu)Mkuu, naona hili tatizo limekugusa hadi umejitokeza toka mafichoni. Karibu tena jamvini.