Nikilala usiku tumbo linajaa has na kuuma nikikaa linatulia

dutch2

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
1,009
Reaction score
976
Husika na kichwa cha habari jana ilikuwa siku ya pili nasumbuliwa gas tumboni nashindwa kulala usiku nikikaa kitandani haliumi nikilala tu linaanza.

Nilishawahi kusumbuliwa na ili tatizo but halikuwa ivi niliambiwa ilisababishwa na ratiba mbovu za kula na vyakula nikawa natembea na magnesium kama hela vile.

Please ambaye alishawahi kusumbuliwa na tumbo kujaa gas naomba aniambie natural stuffs zakutumia izi magnesium kweli nimezichoka.
 
Nenda Hospital ndugu wakufanyie uchunguzi wa magonjwa yote ya tumbo. Kwa nini ule magnesium kama Tiba wakati tatizo hulijui? Magonjwa ya tumbo ni mengi wahi mapema. Hospitali ziko wazi masaa 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…