Nikilipia kupata blue tick mtandao wa X (Twitter) naweza kuipata baada ya muda gani?

Nikilipia kupata blue tick mtandao wa X (Twitter) naweza kuipata baada ya muda gani?

Paulolaurent

Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
31
Reaction score
49
Habari wana JF,

Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje.

Ahsante
 
Picha namba ya simu na malipo haichukui zaidi ya wiki
 
Aseeh.. kuna watu mna pesa mpaka pakuzitumia panakosekanika, af kuna mie ambae hata kazi sina Daah.🙌
 
Back
Top Bottom