Paulolaurent Member Joined Nov 21, 2024 Posts 31 Reaction score 49 Nov 21, 2024 #1 Habari wana JF, Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje. Ahsante
Habari wana JF, Samahani nataka kufahamu nikilipia mtandao wa twitter x kupata bluetick napatiwa baada ya muda gani na je nikitaka ku cancel narudishiwa pesa au utaratibu unakuaje. Ahsante
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 21, 2024 #2 Picha namba ya simu na malipo haichukui zaidi ya wiki
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Nov 21, 2024 #3 Bluetick Inasaidia nini?!
DesignerChibu Member Joined Dec 16, 2022 Posts 7 Reaction score 11 Nov 21, 2024 #4 Aseeh.. kuna watu mna pesa mpaka pakuzitumia panakosekanika, af kuna mie ambae hata kazi sina Daah.🙌
Paulolaurent Member Joined Nov 21, 2024 Posts 31 Reaction score 49 Nov 21, 2024 Thread starter #5 min -me said: Picha namba ya simu na malipo haichukui zaidi ya wiki Click to expand... Okay kumbe awakupi kwa siku iyoiyo
min -me said: Picha namba ya simu na malipo haichukui zaidi ya wiki Click to expand... Okay kumbe awakupi kwa siku iyoiyo
Paulolaurent Member Joined Nov 21, 2024 Posts 31 Reaction score 49 Nov 21, 2024 Thread starter #6 Inside10 said: Bluetick Inasaidia nini?! Click to expand... Mambo ya matangazo ya biashara mkuu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 21, 2024 #7 Paulolaurent said: Okay kumbe awakupi kwa siku iyoiyo Click to expand... Inategemea mkuu mimi walinipa wiki mbili mbele
Paulolaurent said: Okay kumbe awakupi kwa siku iyoiyo Click to expand... Inategemea mkuu mimi walinipa wiki mbili mbele