Nikilitasri kwa linakuwaje kwani?

Nikilitasri kwa linakuwaje kwani?

Joined
Jun 30, 2017
Posts
69
Reaction score
21
hiv kwanini watu wapendanao wanapenda sana kuitana majina mazuri ya kimapenzi kwa kiingereza kama vile my honey,my sweet,my watermelon,my torch, kwani haya yakisemwa kwa kiswahili si nimazur tu kama vile asali yangu,utamu wangu ukiingia kwa undani utasema titikiti maji langu kurunzi yangu alafu kwenye kumalizia utasema KIAZI MBATATA CHANGU




JANA NDO NIMETOKA JAMAICA KUSOMA NANILIU
 
Boga langu mpenzi la chalinze,wewe ni wangu pilipili hoho we ni wangu karot mpenzi.
We ni wangu bamia la msata na sitakubali kukuacha[emoji445][emoji445]
 
Back
Top Bottom