Nikimaliza chuo

  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi

Mbona unatumia neno ‘siku chache hizi’ kwani zimebaki ngapi.?
 
Upo sawa , mkiwa chuo ukimuuliza mwenzako anakuambia naenda kupiga mishe zangu mtaani.

Akifika mtaani anaanza kuhangaika na mabahasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…