Diana-DaboDiff
JF-Expert Member
- Jul 13, 2009
- 376
- 19
nani alikuambia kuwa Chadema watapata wabunge wachache? wabunge watakuwa wengi na wasipotosha wataunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kujumuisha wabunge wa cuf na ccm.
Piga kura kwa Dk wa ukweli, hatudanganyiki tena kuchagua ccm[/QUOTE
Tayari ishirini na wamepita bila kupingwa ukiongeza viti maalum wanakaribia mia hata oct. bado,nina wasiwasi.
Mimi Diana na watanzania wengi tunataka kumpa kura Dr. Slaa oct.2010 lakini najiuliza nikimpa atatawala vipi huku wabunge wengi watatoka CCM? sitaki kuichezea kura yangu na watu wengi wanajiuliza swali hili naomba watu wa Chadema watueleze tukimchagua atavunja Bunge na kuitisha uchaguzi mwingine au atapitisha vipi miswada yake bungeni.Hii mbio ya kuingia ikulu cannot be an end by itself.
Ishirini ni nini kati ya 400 weye?Tayari ishirini na wamepita bila kupingwa ukiongeza viti maalum wanakaribia mia hata oct. bado,nina wasiwasi .
Mimi Diana na watanzania wengi tunataka kumpa kura Dr. Slaa oct.2010 lakini najiuliza nikimpa atatawala vipi huku wabunge wengi watatoka CCM? sitaki kuichezea kura yangu na watu wengi wanajiuliza swali hili naomba watu wa Chadema watueleze tukimchagua atavunja Bunge na kuitisha uchaguzi mwingine au atapitisha vipi miswada yake bungeni.Hii mbio ya kuingia ikulu cannot be an end by itself.
kuirudisha CCM Ikulu ni kubariki UFISADI
Wabunge ishirini kati ya wabunge 300 na zaidi ndio wengi we dada au umetumwa? Kama kweli umenuia kutoa kura yako kwa Chadema twaiomba.

Kura yako ni muhimu kwetu. Tafadhali naiomba.:glasses-nerdy:KWA KUWA UMEJITAMBULISHA KUWA NI CHADEMA DAMU BASI NA KURA YANGU HUIPATI NG'O !!
nani alikuambia kuwa Chadema watapata wabunge wachache? wabunge watakuwa wengi na wasipotosha wataunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kujumuisha wabunge wa cuf na ccm.
Piga kura kwa Dk wa ukweli, hatudanganyiki tena kuchagua ccm
wewe hujui unachoongea soma kwanza katiba ya nchi uielewe na ndio uje hapa ..sio unakuja na arguments zako za kitoto hapa
Wabunge ishirini kati ya wabunge 300 na zaidi ndio wengi we dada au umetumwa? Kama kweli umenuia kutoa kura yako kwa Chadema twaiomba.
Msaidieni huyu Dada! Ni mmoja kati ya mamilioni wasiofahamu hilo. Na mwisho wake ni maamuzi asiyoyajua!
Pole Diana, swala ulilouliza ni la msingi, na kweli watu wanataka kufahamu haya mambo. Kama majibu yenyewe ndio hayo.....Wangapi wanamuda wakusoma hiyo katiba?? Wewe uliyeisoma basi ingikua vizuri kumueleza Diana badala ya kumshabulia.
Every vote counts, so kila jimbo kushinda ni muhimu, huwezi kutabiri yatakayotekea mpaka baada ya uchaguzi....majimbo waliyopoteza Chadema sio kitu cha kuzarau. Mnataka kushika nchi lakini mkiambiwa ukweli mnanuna kwa!!