Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Wa3laykumu ssalaam Preta!Maalim bana.....asalam aleykum
Mkuu ndio ushaangalia yale mambo yako nini!?Nazitanguliza heshima kwenu JF members!
Wapo watanielewa vzur pia wapo watakua hawanielewi kwa kile ntaeleza...
Ikitokea nimempata mchumba wangu wa dhati na upendo mwema kati yetu me/ke..
Maswali ni haya:
1-Tukipata mtoto tutampa historia tulivyokutana JF?
2-Siku tukigombana/kutafautiana nan ataeanza kumlaumu mwenzie?
3-.....................
4-.....................
Nisaidieni mawazo mwenzenu!
Nazitanguliza heshima kwenu JF members!
Wapo watanielewa vzur pia wapo watakua hawanielewi kwa kile ntaeleza...
Ikitokea nimempata mchumba wangu wa dhati na upendo mwema kati yetu me/ke..
Maswali ni haya:
1-Tukipata mtoto tutampa historia tulivyokutana JF?
2-Siku tukigombana/kutafautiana nan ataeanza kumlaumu mwenzie?
3-.....................
4-.....................
Nisaidieni mawazo mwenzenu!
Is it serious?Maalim bana sasa ule mpango wa pilau uliahirisha tena ndo unamtaka wa JF?? Unaniangusha sana bana hebu twende chemba unieleze kisa na mkasa
Upo makini hakika!.Mkuu ndio ushaangalia yale mambo yako nini!?
Unganisha maswali na majibu utanielewa!!!Lizzy,mbona sijakuelewa? msimpe....? lawama?
Maalim bana sasa ule mpango wa pilau uliahirisha tena ndo unamtaka wa JF?? Unaniangusha sana bana hebu twende chemba unieleze kisa na mkasa