Hawa wawili wako real, wanaeleweka misimamo yao kitambo tu na wanaisimamia na wanaujua uhalisia mwingi wa hali halisi ya watanzania. Sijapata kumuona Msukuma akiwa kigeugeu; anaipigania bangi hadi leo. Sijapata kumuona Lusinde kigeugeu kwa viongozi wake.
Nikimuangalia bashiru, naona ni mtu ambaye hajui hata anachokisimamia. Yupo yupo tu na lundo la makaratasi aliyokabidhiwa kama ushahidi wa kukariri kwake. Ukiuchukulia usomi, halafu ukamfuatilia dr huyu unaweza kukata tamaa kabisa ya kusoma!!! Haki ya nani tena!