Nikimtekenya mke wangu huwa hachekelei!

Nipe namba yake kuna kitu nimshauri atacheka tu
 
Dogo iko hivi inawezekana mkeo amepoteza hisia kwako kwasababu nyingi lkn kubwa zaidi ni kuto RIDHISHWA AU KUFIKISHWA KILELENI hivyo hafurahii uwepo wako kama MUME hivyo haoni maana ya maisha anayo ishi pia hilo linamfanya awe na msongo wa MAWAZO (STRESS) Hebu jitathimin ni wapi unakosea then badilika
 
Nakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii..

Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa..

Msaada jamani!
Wee hua unamtekenya wapi
Isije kuwa kwenye goti unatusumbua hapa.. na kama unamtekenya akiwa keshakunywa k.vant zake hilo sahau
 
Mkeo hajui kula na kipofu na kukuchekea kinafiki tu napenyewe anashidwa
 
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri.. Ni sifa zipi za faha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…