FrediusSnowden
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 269
- 225
- Thread starter
-
- #41
Huyu niwa ndoa kabisa.. Mwenyeji wa Kondoa..Huwa unaanzia wapi kutekenya? Na je, ushawai tekenya mwingne akatekenyeka kiasi cha kuona tofauti?
Hata miguno hamna mkuu, huoni ni tatizo hilo!Sikuwahi kujua kama kutekenya kunaweza kunusuru ndoa.
Pia sikuwahi kujua kama mtu asipocheka akitekenywa, basi ndoa inakua mashakani.
The world is full of suprises!
[emoji39][emoji39][emoji39]
Nisaidie maoni mkuuMkeo hana ubinadam kabisa
Ha ha ha haaaa hapo sasaItakuwa huwezi kumtekenya ww
Wala siyo tatizo, siyo kila anaetekenywa anachekaHata miguno hamna mkuu, huoni ni tatizo hilo!
Angalau unanipa matumaini sasa..Wala siyo tatizo, siyo kila anaetekenywa anacheka
Nataka afili ile mimi nafiliHahahaaa haa unamtekenya kwani yeye mtoto!? Kwanini umlazimishe kucheka wakati unamkarahisha! Jirekebishe bhna
Kwani wewe unasikia je utamu wa asili..haluwa unagawaje hadi kuinjoi?Kutekenywaje sasa,,,yani siku mtu(Mr) arogwe anitekenye,,ntampa booonge la kofi
ndio ujijue una kibamia hakitekenyi ipasavyo ndio maana hachekiNakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii..
Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa..
Msaada jamani!
Sasa ze-dudu ushauri wako ni upi?ndio ujijue una kibamia hakitekenyi ipasavyo ndio maana hacheki
Nakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii..
Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa..
Msaada jamani!
Nipe ujanja..Hapa kuna uwalakini tu na siamini kama kweli mikono ama vidole vyako vina gundu, kwa sababu mi nikimtekenya mbona anafurahia sana.