Nikimtizama Askofu Gwajima naona kitu hiki...

Na imani wakikutana Paschal mayala wa 2007 na pascal mayala wa 2021 , watazipiga ngumi hadi basi. na mwamuzi atakuwa admin wa Jamii forum.
Katika hilo pambano, naamini huyu Pascal Mayalla wa 2021 atashinda raundi ya kwanza tu, tena kwa KO dhidi ya Pascal Mayalla wa 2007!!

Huyu wa sasa shavu shavu!! Anakula tu hela za Saba Saba kupitia PPR nini sijui ile! 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…