Hapo kwenye ekundu: uoe mkristu ili iweje na wewe unasema kiimani hupo popote. Hii yaonesha au huko mkristu, au kama uko mkristu basi huiishi imani yako. Sasa mke mkristu, ili iweje? We sema tu: "nioe mke mwingine"?Nimezaa nae watoto wawili,tumeishi miaka 12,nampenda sana ila alishanihakikishia katu hatobadili dini,iwapo nataka mke mkristo nioe,wanangu bado wadogo mmoja miaka 7,wa pili miaka 4. Kiimani sipo popote pia wanangu muda wote wana mama yao na mimi nafanya kazi mkoani.nifanyeje? Nioe mwanamke mkristo mwenzangu au je? Nishauri jamani!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimezaa nae watoto wawili,tumeishi miaka 12,nampenda sana ila alishanihakikishia katu hatobadili dini,iwapo nataka mke mkristo nioe,wanangu bado wadogo mmoja miaka 7,wa pili miaka 4. Kiimani sipo popote pia wanangu muda wote wana mama yao na mimi nafanya kazi mkoani.nifanyeje? Nioe mwanamke mkristo mwenzangu au je? Nishauri jamani!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna watu wengine hata hawajui wanataka nini, you want to destroy uhusiano thabiti wa miaka 12 sababu ya dini? wewe ni wa karne hii ya sasa au, dini sio kigezo siku hiziUmuache mkeo uoe mke mkristo wakati we mwenyewe kiimani hauko popote....it doesn't make sense!!