Sio yule bana..aahhhh jina lake limenitoka...niache nilale kesho nitakutajia jina..[emoji6][emoji6]Unamzugumzia yule Yna4
Si uende mwenyeweNisindikize kukojoa
mbona unafatilia sana mkuu?Sawa sawa, ila ulikua umeshaongea naye kabla?? Au
kwani amenona ?Achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .
Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.
Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa.
Pokea zangu salamu Mr zero IQ nimenasa kwako kama inzi basi wacha nifie kwenye kidonda chako.
Popote mumuonapo Yna4 naomba mumfikishie salamu zangu .
Maaaa haaaahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aoze tu
[emoji120] [emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahsante mwaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaKwakweli
Pole na hongera kwa yalio ya heriSalamaaaa nilipatwa na majukumu maaaa
Dah maskini shunie ndo akawa game changerand Game Changer
And charismatic fellowand Game Changer
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu angalia yasije kukutokea ya Gentamycin kutangaza Shunie anamzia kuanzia siku hiyo awe anajiita mrs fulani kilichotokea mpaka leo sijamuona the talented and entertainer kwa muda sasa
Unahisi katekwa na maods ?Mkuu angalia yasije kukutokea ya Gentamycin kutangaza Shunie anamzia kuanzia siku hiyo awe anajiita mrs fulani kilichotokea mpaka leo sijamuona the talented and entertainer kwa muda sasa
Swali la ShunieUnahisi katekwa na maods ?