Kwa takribani miaka 21 kuacha
kuwa na mahusiana naye kwasababu maneno machafu na yanayochafua roho na
kutojali kwake,nilidhani naweza msahau na tukawa marafiki but kiukweli
namchukia baba yangu as long napomuona sijisikia sina raha kumuita baba
wala kuwa nae karibu Roho inauma nimuonapo,Ameninyima kitu adimu ambacho
siwezi pata kwa yeyote yule now nimekuwa mtu mzima. Namchukia huyu baba
jina.
We kichaa kweli kweli kuna mtu anaweza kumchukia baba yake.
fazaa, kuna vitu vinaweza vikafanya mtu amchukie hata mzazi.
Nikupe mfano, kuna mzee alimtoa kafara mjukuu wake, baadae yule mtoto wake ambaye ni baba wa mtoto akajua.
Unaweza imagine alimchukiaje?
Sasa hili ndiyo mwenye thread aelewe kuwa watu wana matatizo makubwa na wazazi wao kuliko hata yeye.. Hajapata tu kusikia!