Kutokana na tabia yangu ya kutokunywa pombe nimejikuta nikienda sehemu za starehe vinywaji navotumia ni vile visivo na vilevi kama vile redbull,bavaria na Dragon tatizo hivi vinywaji kila nikinywa baada ya muda meno yanaanza kupata maumivu kama vile mtu anaburuza kifuniko cha soda au bia kwenye sakafu yenye cement yani hata ikifika asubuhi nikitaka kupiga mswaki napata maumivu sana.
Nisaidieni tatizo ni nini hasa?