Nikinywa Pombe nasikia Raha

Nikinywa Pombe nasikia Raha

Tuagize

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
244
Reaction score
585
Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita kiasi kunywa kidogo tu kama mimi 😁
image.jpg
 
Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita kiasi kunywa kidogo tu kama mimi 😁View attachment 3175287
usisahau kunywa maji mengi pia gentleman 🐒
 
Hivi mnapata raha gani kubugia vitu vichungu vinavyopelekea wakati mwingine ujikojolee na kulala mitaroni?


ndege JOHN
 
Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita kiasi kunywa kidogo tu kama mimi [emoji16]View attachment 3175287
Hautakiwi kuacha kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom