Nikioa mke wangu ataongea na nani hapa mtaani?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza

Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"

Sasa naona kilomita zimesonga sana, hivyo nataka kuoa. Lkn najiuliza, nikioa mke wangu si atakuwa akipita watu wanamng'ong'a kwa kuolewa na machine ya mtaa? Ningekuwa nimepanga ningehamia mbali sana na mtaa huu, lkn ndo hivo niko kwangu.

Ataongea na nani hapa mtaani ili umbea wa maisha yangu ya sasa asiusikie?
 
We oa tu mzee,Na sisi tutakukobolea Mkeo,What goes Up must come down.
 
Kila mtu ana aliyowahi kupitia,sidhani kama mkeo atajifariji kwamba kaolewa na saint
 
Unaomizwa eti ataongea na nani?

Kuna kibwa zaidi watamgonga Kama wewe ulivyogonga wa watu.
 
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza

Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"

Sasa naona kilomita zimesonga sana, hivyo nataka kuoa. Lkn najiuliza, nikioa mke wangu si atakuwa akipita watu wanamng'ong'a kwa kuolewa na machine ya mtaa? Ningekuwa nimepanga ningehamia mbali sana na mtaa huu, lkn ndo hivo niko kwangu.

Ataongea na nani hapa mtaani ili umbea wa maisha yangu ya sasa asiusikie?
Kwa nini usioe mmoja wapo wa uliowapitia, mabinti/ wafanyakazi ambao wanajuana tayari.
 
Huyo asipo batizwa jina la mama huruma...Mmmhhh.!!!!!
Yajayo yanafurahisha..atagawa kuliko pipi za sadaka[emoji38]
 
Leo mwanaume kesho mwanamke. Mwanaume na miguu yako 3 unatumia ID ya kike? Leo unagegeda kesho unagegedwa. Shetani kazini. Umewakamata sana wanaJF. Nikiona nyuzi zako tu najua ni chai ya mkono mmoja.
 
Pangisha banda lako Wewe kapange mbali na hapo baada ya miaka 2 rudi
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza

Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"

Sasa naona kilomita zimesonga sana, hivyo nataka kuoa. Lkn najiuliza, nikioa mke wangu si atakuwa akipita watu wanamng'ong'a kwa kuolewa na machine ya mtaa? Ningekuwa nimepanga ningehamia mbali sana na mtaa huu, lkn ndo hivo niko kwangu.

Ataongea na nani hapa mtaani ili umbea wa maisha yangu ya sasa asiusikie?
 
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza

Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"

Sasa naona kilomita zimesonga sana, hivyo nataka kuoa. Lkn najiuliza, nikioa mke wangu si atakuwa akipita watu wanamng'ong'a kwa kuolewa na machine ya mtaa? Ningekuwa nimepanga ningehamia mbali sana na mtaa huu, lkn ndo hivo niko kwangu.

Ataongea na nani hapa mtaani ili umbea wa maisha yangu ya sasa asiusikie?
Kazi ipo.....
 
Chai
 
Back
Top Bottom