We oa tu mzee,Na sisi tutakukobolea Mkeo,What goes Up must come down.Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza
Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"
Sasa naona kilomita zimesonga sana, hivyo nataka kuoa. Lkn najiuliza, nikioa mke wangu si atakuwa akipita watu wanamng'ong'a kwa kuolewa na machine ya mtaa? Ningekuwa nimepanga ningehamia mbali sana na mtaa huu, lkn ndo hivo niko kwangu.
Ataongea na nani hapa mtaani ili umbea wa maisha yangu ya sasa asiusikie?
AfadhaliKila mtu ana aliyowahi kupitia,sidhani kama mkeo atajifariji kwamba kaolewa na saint
Kwa nini usioe mmoja wapo wa uliowapitia, mabinti/ wafanyakazi ambao wanajuana tayari.Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza
Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"
Sasa naona kilomita zimesonga sana, hivyo nataka kuoa. Lkn najiuliza, nikioa mke wangu si atakuwa akipita watu wanamng'ong'a kwa kuolewa na machine ya mtaa? Ningekuwa nimepanga ningehamia mbali sana na mtaa huu, lkn ndo hivo niko kwangu.
Ataongea na nani hapa mtaani ili umbea wa maisha yangu ya sasa asiusikie?
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza
Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"
Sasa naona kilomita zimesonga sana, hivyo nataka kuoa. Lkn najiuliza, nikioa mke wangu si atakuwa akipita watu wanamng'ong'a kwa kuolewa na machine ya mtaa? Ningekuwa nimepanga ningehamia mbali sana na mtaa huu, lkn ndo hivo niko kwangu.
Ataongea na nani hapa mtaani ili umbea wa maisha yangu ya sasa asiusikie?
Kila mtu ana aliyowahi kupitia,sidhani kama mkeo atajifariji kwamba kaolewa na saint
Kazi ipo.....Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza
Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"
Sasa naona kilomita zimesonga sana, hivyo nataka kuoa. Lkn najiuliza, nikioa mke wangu si atakuwa akipita watu wanamng'ong'a kwa kuolewa na machine ya mtaa? Ningekuwa nimepanga ningehamia mbali sana na mtaa huu, lkn ndo hivo niko kwangu.
Ataongea na nani hapa mtaani ili umbea wa maisha yangu ya sasa asiusikie?
ChaiKatika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza