Nikiona kwapa la mwanamke navuta taswira fulani..

Ndo mana Kanisani kwetu hawaruhusu nguo zinazoonyesha makwapa.
 
kwa utafiti nilioufanya matokeo yake ni kuwa mwonekano wa kwapa la mwanamke ndiyo mwonekano wa sehemu zake za siri, hata vipele unavyoona au chochote unachokiona kwapani leo ukifika kakichunguze utagundua kuwa hakuna tofauti!!!!!!!:eyebrows:
 
Hasa ukiona alivyokiadress unahisi hata kule kunani kumenyolewa hivyohivyo au!!!!!!!!hahahahaha kweli dunia ina mambo
 
Kweli jf kuna mambo kama duniani kulivyo na mambo!
 
kwa utafiti nilioufanya matokeo yake ni kuwa mwonekano wa kwapa la mwanamke ndiyo mwonekano wa sehemu zake za siri, hata vipele unavyoona au chochote unachokiona kwapani leo ukifika kakichunguze utagundua kuwa hakuna tofauti!!!!!!!:eyebrows:

Kaka sample yako ilikuwa ya wanawake wangapi? Ikiwezekana ichapwe ili kina mama wayaheshimu makwapa yao, maana ni 'ikulu ndogo'.
 
Kina mama funika makwapa yenu mtaniua kwa mfadhaiko. Kuna mikwapa imetuna, wee acha tu!
 
ni kitu cha kweli na hii inatokea kwa wanaume wote...ukona kwapa ndo huwa inamaanisha kuwa hata chini kuko hivyohivyo..hivyo si lazima utembee ukiwa kwapa liko nje au ushone nguo ambazo kwapa linaonekana hata watoto wasiojua kuwa huwa kuna kuwa na nywele kwenye private parts wanaona nywele za mama za kichwani siko kwapani....ukiona kwapa lina manywele wengu huwa wanapiga taswira kuwa chini kuna minywele mingi, ukiona kwapa jeusiiii, wengi huwa wanafikiri chini ni kweusiii, kwa wanawake weupe ukona kwapa jeupe unapiga taswira kuwa chini si kweusii sana kama mjaluo ni kweupe kama muiraq...na mwanaume yeyote kamili huwa na mawazo kama hayo.....sema tu hawezi kufanya kitu ila huwa mnasumbua sana wanaume....jeusii, jeupeee, lingine limejichubua usoni ila kwapa jeusiii...that means hata chini ni kweusii kama mkaa..hahaha.
 
Kaka hapo umeua. Kina mama mnaoacha vikwapa nje jirekebisheni. Vikwapa vinashabihiana na nyuchi zenu.
 
Na ukiona kwapa la mwanaume una pata hisia hizo hizo pia? Kwani hata wanaume wanamakwapa vilevile.
 
Na ukiona kwapa la mwanaume una pata hisia hizo hizo pia? Kwani hata wanaume wanamakwapa vilevile.

Mamushika, kwapa la kina baba halinipi hisia kwa sababu halishabihiani na sehemu zake za siri. Sehemu za siri za kike zimeshabihiana na kwapa.
 
Mke wangu (Teacher) hawezi kuvaa nguo inayoonyesha kwapa lake. Tuseme ukweli, kwapa ukichora kamstari fulani ni 'ikulu ndogo'.

Hahaaaaa jamani lakini acheni mnanivunja mbavu ati. Hivi wewe kwahiyo unaangaliaagaa then unafikiria mbalii, je wale ambao utakuta vinyweleo vyeupe vyeupe hua ndo unapata picha kua ndo ya mzee au. Mh kazi ipo.
 
Yani we unanivunja mbavu, unaangalia kisha unawaza mbali unaweka na kimstari kabisa, kwa wale wenye makwapa yenye vinyweleo vyeupe vyeupe hivi hua unvuta hisia gani au ndo unahisi ya mbibi mzee au?
 
Yani we unanivunja mbavu, unaangalia kisha unawaza mbali unaweka na kimstari kabisa, kwa wale wenye makwapa yenye vinyweleo vyeupe vyeupe hivi hua unvuta hisia gani au ndo unahisi ya mbibi mzee au?

Mamushka, nakwambia wacha tu. Yaani nikiona mvi, najua na ikulu kuna mvi. Nikiona nyama limetuna kwapani, basi najua na ikulu 'tumbua' hilo. Si mchezo. Mie nachora kimstari na kujua sehemu ya siri ya mwenye kwapa ikoje. Mamushka, hivi ni ugonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…