nikiona magari ya OYA.

nikiona magari ya OYA.

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
1726573867618.jpg

Nikiona magari ya OYA Yanakuja kwenye duka langu
 
Dah! Kuna jirani wanamsumbua balaa , anadhalilika natamani hata nimlipie ingawa na mimi shida zimenijaa,kila siku getini ngo ngo ngoo... wanatukana pia.
Hivi ukirekodi ushahidi wa matusi huwezi kushitaki?
 
Kisheria ukitukana ni kosa ukiwa n ushaid unamshitak Alie kutukana n Sheria inafata mkondo wake
 
Dah! Kuna jirani wanamsumbua balaa , anadhalilika natamani hata nimlipie ingawa na mimi shida zimenijaa,kila siku getini ngo ngo ngoo... wanatukana pia.
Hivi ukirekodi ushahidi wa matusi huwezi kushitaki?
Acha atukanwee, alipe hela ya watu, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom