Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kisheria ukitukana ni kosa ukiwa n ushaid unamshitak Alie kutukana n Sheria inafata mkondo wakeDah! Kuna jirani wanamsumbua balaa , anadhalilika natamani hata nimlipie ingawa na mimi shida zimenijaa,kila siku getini ngo ngo ngoo... wanatukana pia.
Hivi ukirekodi ushahidi wa matusi huwezi kushitaki?
Ukiwa huna mnapatana mvute subra.Dawa ya deni kulipa
Kesi nyepesi hiyo ya matusi.. kikubwa ni kulipa deni tu π πKisheria ukitukana ni kosa ukiwa n ushaid unamshitak Alie kutukana n Sheria inafata mkondo wake
Ila lazima kulipaUkiwa huna mnapatana mvute subra.
Watulize boli.Mwamba kachacha.Ila lazima kulipa
Subiri wamchachoshe vizuri Sasa π πWatulize boli.Mwamba kachacha.
View attachment 3098619nikiona magari ya OYA Yana kuja kwenye duka langu
Unaweza shitaki matusiDah! Kuna jirani wanamsumbua balaa , anadhalilika natamani hata nimlipie ingawa na mimi shida zimenijaa,kila siku getini ngo ngo ngoo... wanatukana pia.
Hivi ukirekodi ushahidi wa matusi huwezi kushitaki?
Huyo jamaa alivyotaitiwa anaweza kuharish*a
Hii hutoboi,na kama mpiga hii kabali mlevi,kala maharage na mayai,akijamba hapo sharti ufe,maana kuomba msamaha huwezi,kurusha mikono kama mieleka haiwezekani
Acha atukanwee, alipe hela ya watu, khaaahDah! Kuna jirani wanamsumbua balaa , anadhalilika natamani hata nimlipie ingawa na mimi shida zimenijaa,kila siku getini ngo ngo ngoo... wanatukana pia.
Hivi ukirekodi ushahidi wa matusi huwezi kushitaki?
bado zamu yako...Acha atukanwee, alipe hela ya watu, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au sio ππKesi nyepesi hiyo ya matusi.. kikubwa ni kulipa deni tu π π