Kama uliniona vile[emoji23][emoji23][emoji23]One mistake u did...ungeangalia upande wa dirishani ungeniona maana nilikua naogopa hata kukuita yasije nikuta yaliyokukuta. Cc tandel kwa mtogole
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimelidhibitisha hilo.Hiyo ndio dar..kila mmoja kimpango wake..yani ushirikiano ziro kabisa..hasa wanaume wa dar hawa bure kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa..Asante mkuu.
Usije huku , watu wa huku ha wana ujamaa kabisa
HahahaaaaPole sana mkuu...
Ndomana nilisha semaga, sihami ushirombo
Kufa hakukwepeki bibieVisu , bisibisi. Misumari. Naogopa kufa [emoji19][emoji19]