Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Jambo wadau!!
umri wangu miaka 20 but kila nkikutana na demu kuongea nae mazungumzo ya kawaida tu uume wangu husimama fasta na kutoa majimaji mpaka nalowesha boxer yangu....
je hili ni tatizo au ni kawaida kutokea kwa mwanaume?? ntashukuru kwa majbu mazur
Ndio urijali huo
Ni ugonjwa hatari sana huo. Hayo maswali ungeyauliza face book pia inaonesha wewe hujasoma hata o-level imekuwaje unaweza ingia huku?
Umri wako ndo jibu tosha,Jambo wadau!
Umri wangu miaka 20 but kila nkikutana na msichana kuongea nae mazungumzo ya kawaida tu uume wangu husimama fasta na kutoa majimaji mpaka nalowesha boxer yangu.
Je hili ni tatizo au ni kawaida kutokea kwa mwanaume?
Ntashukuru kwa majibu mazuri.
Jambo wadau!