Nikipata mafanikio ninayoyasubiria sijui mtanishikia wapi!

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Mimi nikipata mafanikio ninayoyatarajia nitakuwa inspirational sana kwa wengine kwa kila ninachofanya.

Nitakuwa kama vile maandiko yanavyosema, CHUMVI ya dunia, mtu anayeleta ladha nzuri kwenye maisha ya wengine.

Pia nitakuwa kama maandiko yanavyosema MWANGA wa dunia, mtu ambaye mawazo yangu, kazi zangu, jina langu, muonekano wangu na kila kinachohusu mimi vinaleta mwangaza kwa wengine.

Shetani anajua hilo ndiyo maana bado anakaba ila ataachia tu.

Kwa kuanzia gari zangu nitaagiza kutoka North Korea. Inabidi niwe wa tofauti sana.

Sitakuwa na bodyguards watunisha misuli, mimi wangu watakuwa undercover. Nitakuwa na personal assistance wa kunishikia mwamvuli nisipigwe na jua na wa kunisafishia vumbi viatu kila nikikanyaga mchanga.

Nitawajua on a first-name basis Presidents, Prime Ministers, Kings and Queens, powerful businessmen na influencial figures wa kada mbalimbali dunia nzima. Nikiwaita wanaitika.

Nitakuwa na scholarship fund kubwa kwa ajili ya vijana wenye vipaji na wale wasio na uwezo.

Nitakuwa na mabasi maalumu ya kuwasafirisha kina mama tu kwa bei ya chini. Hii ni ndoto yangu ya muda mrefu.

Nitajenga bustani za kuvutia za kusoma na kutafakari Neno la Mungu, Salvation Gardens, kama ilivyoandikwa katika Isaya 60.

Mungu akipenda sitaondoka katika dunia hii bila kuyatimiza haya yote na mengine mazuri makubwa.
 
pia utakuwa matako uanze kulia mbataa

Nitaishi maisha ya unyenyekevu ila TO THE FULLEST.

Labda mtu akwezeke tu sababu ya wivu wake ila haitakuwa kwa sababu ya kauli au matendo yangu.
 
Mimi nikipata mafanikio ninayoyatarajia nitakuwa inspirational sana kwa wengine kwa kila ninachofanya.

Nitakuwa kama vile maandiko yanavyosema, CHUMVI ya dunia, mtu anayeleta ladha nzuri kwenye maisha ya wengine.

Pia nitakuwa kama maandiko yanavyosema MWANGA wa dunia, mtu ambaye mawazo yangu, kazi zangu, jina langu, muonekano wangu na kila kinachohusu mimi vinaleta mwangaza kwa wengine.

Shetani anajua hilo ndiyo maana bado anakaba ila ataachia tu.

Kwa kuanzia gari zangu nitaagiza kutoka North Korea. Inabidi niwe wa tofauti sana.

Sitakuwa na bodyguards watunisha misuli, mimi wangu watakuwa undercover. Nitakuwa na personal assistance wa kunishikia mwamvuli nisipigwe na jua na wa kunisafishia vumbi viatu kila nikikanyaga mchanga.

Nitawajua on a first-name basis Presidents, Prime Ministers, Kings and Queens, powerful businessmen na influencial figures wa kada mbalimbali dunia nzima. Nikiwaita wanaitika.

Nitakuwa na scholarship fund kubwa kwa ajili ya vijana wenye vipaji na wale wasio na uwezo.

Nitakuwa na mabasi maalumu ya kuwasafirisha kina mama tu kwa bei ya chini. Hii ni ndoto yangu ya muda mrefu.

Nitajenga bustani za kuvutia za kusoma na kutafakari Neno la Mungu, Salvation Gardens, kama ilivyoandikwa katika Isaya 60.

Mungu akipenda sitaondoka katika dunia hii bila kuyatimiza haya yote na mengine mazuri makubwa.
Ata ukiweza kufanya hayo yote hutamridhisha kila mtu
 
Kama Diamond Platinumz tuu
 
Back
Top Bottom