Nikipata pesa ntaenda kusaidia watoto yatima ulaya

Nikipata pesa ntaenda kusaidia watoto yatima ulaya

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Kuna mambo yananishangaza, hawa wazungu wamekuwa wakarimu na wanatusaidia sana. Wanatoa misaada katika vituo vya yatima, wanatupa misaada ya dawa,wanatupa huduma za afya, wanakuja kutufundisha michezo na mambo mengi sana lakini kwanini na sisi waafrika tusiende kulipa fadhila kwa kuwasaidia watu wenye shida huko Ulaya?
 
Back
Top Bottom