Nikisema wabunge wa CCM hawajielewi, nitakuwa nawatukana?

😂😂😂 hii nchi iko watu ambao hawana uwezo ndo wameshika nchi
 
Halafu anatokea mjinga mmoja anasema Tanzania tunasonga mbele
 
Jinga hilo wanaliuliza mikutano ilizuiwa kwa sheria ipi anasema eti hali ya nchi.

Halijui hata katiba linasema mikutano imeruhusiwa kipindi cha uchaguzi tu , huyu ni miongoni mwa mazezeta mengi huko CCM.
 
Hao ndio waliojaa CCM, utayasikia yanamwita mtu yaliyomzidi umri mama mama mama, mama katoa this mama katoa that 👎💩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…