Husika na kichwa cha habari hapo juu mimi ni kijana nimeapply tcu na mambo yanaelekea kuwa fresh ila kimjinimjini nimeotea mbishe ambayo inatarajia kuanza mwezi october ina mkataba wa mwaka mmoja na pesa ni nzuri yaani hadi mwaka uishe sitakosa kama m6 hivi.
Nilikuwa nauliza wataalamu wajuzi wa mambo je nitaweza kuarisha mwaka baada ya kufanya admision.
Si unajua mjini hatupishani na pesa ni zambi.
Nilikuwa nauliza wataalamu wajuzi wa mambo je nitaweza kuarisha mwaka baada ya kufanya admision.
Si unajua mjini hatupishani na pesa ni zambi.