Yeah inawezekana kabisa....unaamdika barua kwa Tcu unajieleza kuwa unaomba kuahirisha mwaka wa masomo kwa sababu kadha wa kadha
No no unaomba kwa TCU... ili next time una apply under CAS - TCU jina lako na numbers zako zisikataliwe....
Kaka unataka kuniambia yaani mwakani tena naanza kuanzia mwanzo tena upya...? Sasa kwa staili hii naweza poteza hii pesa asee.
No no unaomba kwa TCU... ili next time una apply under CAS - TCU jina lako na numbers zako zisikataliwe....
Sio TCU kabisa,unafika chuo ukishamaliza registration ndio unaweza kuomba kughairisha mwaka,tcu wala hawana shida,mimi nilichaguliwa geoiformatics mwaka 2012 na sikwenda chuo na sikutoa taarifa popote na mwaka 2013 nikaaply geomatics na nikachaguliwa tena,TCU wanataka hela yao tu wao
Hooh!! Maana kuna watu waliniambia lazima uandike barua kwa TCU ili hapo baadae ukitaka ku apply chuo tena software system ya TCU. Isikusumbue
Hakuna kitu kama hicho,mbona mimi haikunisumbua,kama unataka kwenda course hio hio uliochaguliwa basi nenda hadi hapo chuon then ukimaliza process za registration basi wewe unaweza kuandika barua,but unatakiwa uwe na strong reason sio unatoa sababu eti umepata dili mtaani,ukisema hivy chuo hawawezi kukuruhusu