Elections 2010 Nikishainyima kura ccm 2010 watafuatia vibaraka wao wote!!

tanga kwetu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
2,193
Reaction score
1,437
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM kwa mabaya wanayoifanyia nchi hii na wananchi wake yaani we acha tu!! Nimeamua kwamba nikishainyima kura CCM 31st October, 2010 (of course tangu mfumo wa vyama vingi uanze sijawahi kuipa kura CCM), nita-extend hiyo move hadi kwa vibaraka wao woote waliotumika kipindi hiki cha kampeni kama vile wanamuziki (Bushoke, Marlaw, Flora Mbasha, TMK Wanaume nk), vikundi ya sanaa (Ze Orijino Komedi nk), TV Stations (ITV, Startv nk), Radio Stations (Clouds FM), magazeti (ya shigongo yaani yale ninayosoma kama vile champion). Naapa hizi TV na Radio stations nitazipiga marufuku nyumbani kwangu.
 
Na hiyo ndio itakuwa namna nzuri ya kuwafuta wote katika kona zote. baada ya hapo najua hata biashara nyingi zitaanguka maana wafanyabiashara wakubwa wote wapo kwenye mtandao huo ama kwa kulazimishwa.
 
Mimi hao ze komedy nilishapiga marufuku nyumbani kwangu kuwaangalia. Sasa hivi hawana maadili yoyote ya maana wanayofundisha zaidi ya u gay na kuwalamba miguu mafisadi.
 
<p>Wanaringia nguvu ya dola, hawajui kuwa sauti ya mnyonge haipotei bure na hamna marefu yasiyo na ncha</p>
 
Tangakwetu,
Nakuunga mkono kabisa lakini hii haikustahili kuwa breaking news. Tuachie habari motomoto zilizojiri ndizo ziitwe breaking news.
 
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM kwa mabaya wanayoifanyia nchi hii na wananchi wake yaani we acha tu!! Nimeamua kwamba nikishainyima kura CCM 31st October, 2010 (of course tangu mfumo wa vyama vingi uanze sijawahi kuipa kura CCM), nita-extend hiyo move hadi kwa vibaraka wao woote waliotumika kipindi hiki cha kampeni kama vile wanamuziki (Bushoke, Marlaw, Flora Mbasha, TMK Wanaume nk), vikundi ya sanaa (Ze Orijino Komedi nk), TV Stations (ITV, Startv nk), Radio Stations (Clouds FM), magazeti (ya shigongo yaani yale ninayosoma kama vile champion). Naapa hizi TV na Radio stations nitazipiga marufuku nyumbani kwangu.
Mengi tulimuona mpiganaji sijui ndiyo kasalimu amri kwa mafisadi maana naona yuko kimya tu
 
Back
Top Bottom