Nikishikaga simu ya mtu Cha kwanza kabisa naendaga chrome history

Katakua kasagaji maarufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Ajabu ni pale asilimia 5o hadi 9o ya waliosoma bandiko lako wamegusa Link moja wapo kati ya hizo . na watakataa


Asee kumbe nipo freebasic kidogo nifungue link mojawapoπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Beginners huwa wanatumia chrome bila incognito mode.
 
Umenikumbusha form two/three ndio nilikua naangalia hayoo mambo!

Sasa hivi niangalie ili iweje,nikiwa na kiraru naita bebee napiga show kwa kwenda mbereee!
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]

Be you.
 
Na sie tunaomaliza bando kwa site hizo tuna comment WAP πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 

Nawaza hapa simu nyingi sahiv zina password Sasa sijui unafunguaje? By the way... unaonekana we pia ni mhanga wa hizo videos so unatafuta wahanga wenzako au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…