Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Karibu mjini.Mwanajamvi
Hivi huyu dada kaolewa? Huyu anayechezesha huu mchezo wa Bikko?
Kama hapana basi ngoja niweke wazi, nkiishinda hii Bikko nachumbia hapo
Tuzidi kuombeana
Hata 5000 (buku tano) nao ni ushindi mkuu.
Unaoaje maza kama huyo
[emoji1] [emoji1] Komaa Pambana na hali yako..
Hata mimi nina mpango na Lulu..
Umevutiwa na nini hapo!??
It will take you around one month before your 50 mil vanished,Mwanajamvi
Hivi huyu dada kaolewa? Huyu anayechezesha huu mchezo wa Bikko?
Kama hapana basi ngoja niweke wazi, nkiishinda hii Bikko nachumbia hapo
Tuzidi kuombeana
Mshiko nje nje...kuwa makini na wake za watu
we nenda kichwa kichwa tu uoneHivi ni mke wa mtu?, maana mimi sijui kabisa mambo ya bongo movie