Nikisikia jambo zito mguu wa kushoto unaishiwa nguvu

Nikisikia jambo zito mguu wa kushoto unaishiwa nguvu

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
317
Reaction score
358
Nikisikia jambo zito au stori inayohusu gonjwa baya mtu kapata au nikisikia taarifa yeyote ya oparesheni kubwa mtu anafanyiwa ninaemjua huwa mguu wa kushoto unaishiwa nguvu (yani unalegea kabisaa kama dk chache then unarudi kwenye hali yake ya kawaida.
 
Dalili za kiharusi hiyo. Nenda hospitali.
😃😃😃 Hii ni tangu Enzi zile za darasa la nne B.. kwenye mada za magonjwa na dalili zake..huwa mwalimu akigusia kitu fulani huwa gafla inatokea hivi!! Tangu 2003
 
😃😃😃 Hii ni tangu Enzi zile za darasa la nne B.. kwenye mada za magonjwa na dalili zake..huwa mwalimu akigusia kitu fulani huwa gafla inatokea hivi!! Tangu 2003
Basi una super powers. Inawezekana ukawa superman wa kibongo.

Jaribu mara nyingine ukipata mshtuko, urushe mguu kwa nguvu hata kama hauna nguvu, utapaa angani😂😂😂
 
Ni mshtuko tu. Jifunze kuchukulia mambo kawaida, kuumwa kawaida, kufa ni kawaida matatizo tumeumbiwa binadamu .
 
Back
Top Bottom