Nikisikia jambo zito mguu wa kushoto unaishiwa nguvu

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
317
Reaction score
358
Nikisikia jambo zito au stori inayohusu gonjwa baya mtu kapata au nikisikia taarifa yeyote ya oparesheni kubwa mtu anafanyiwa ninaemjua huwa mguu wa kushoto unaishiwa nguvu (yani unalegea kabisaa kama dk chache then unarudi kwenye hali yake ya kawaida.
 
Kama ni kushoto upande wa moyo ni hata saana


Solution tunayo njoo PM kabla hujafa
 
Dalili za kiharusi hiyo. Nenda hospitali.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Hii ni tangu Enzi zile za darasa la nne B.. kwenye mada za magonjwa na dalili zake..huwa mwalimu akigusia kitu fulani huwa gafla inatokea hivi!! Tangu 2003
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Hii ni tangu Enzi zile za darasa la nne B.. kwenye mada za magonjwa na dalili zake..huwa mwalimu akigusia kitu fulani huwa gafla inatokea hivi!! Tangu 2003
Basi una super powers. Inawezekana ukawa superman wa kibongo.

Jaribu mara nyingine ukipata mshtuko, urushe mguu kwa nguvu hata kama hauna nguvu, utapaa anganiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni mshtuko tu. Jifunze kuchukulia mambo kawaida, kuumwa kawaida, kufa ni kawaida matatizo tumeumbiwa binadamu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…