Nikisoma EGM Naweza kufanya kazi hapo baadae?

Shaaban Haufi

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
75
Reaction score
10
Nahitaji msaada wenu jamani hivi nikisoma EGM,Labda naweza kufanya nini hapo baadae?hususani kama nikifaulu mtihani wa kidato cha sita
 
Nahitaji msaada wenu jamani hivi nikisoma EGM,Labda naweza kufanya nini hapo baadae?hususani kama nikifaulu mtihani wa kidato cha sita

Ukimaliza egm utakuwa hauna profession yeyote. So kn ukupata kazi na egm yako itakuwa not because of ur egm bt bse ur a form six leaver.
Utakapoenda chuo kuchukua diploma au degree ndio utajua ni kazi gani hasa utafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…