Nikitaka kuapply UDOM diploma nafanyaje??

Afrocentric view

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,374
Reaction score
2,280
Hello wakuu,
Leo ni tarehe ya mwisho kuapply diploma, mimi nataka kuapply diploma ya afya pale UDOM ila nimekitafuta chuo kwenye website ya kuapply ya NACTE sijakiona....Na website yao haina system ya kuapply diploma. Naombeni Msaada tafadhali.
 
Kila chuo wanatow diploma, Nichek nikuelekeze. Ingia kwenye website ya chuo utakuta tangazo la dilisha la Udahili anza kufanya Application pale utachagua level unayotaka kuapply. Sema umechelewa wanafunga Tareh 5 kama cjakosea. Ila tu ujue wanahitaj Applicants wenye Certificate siyo 4m4 wala 4m6 kwa kozi za afya.
 
Hello wakuu,
Leo ni tarehe ya mwisho kuapply diploma, mimi nataka kuapply diploma ya afya pale UDOM ila nimekitafuta chuo kwenye website ya kuapply ya NACTE sijakiona....Na website yao haina system ya kuapply diploma. Naombeni Msaada tafadhali.
Nimeingia mara ya mwisho usiku wa leo naona hawajafunga kama unavgezo ukifanya chap utapata, Lkn kama umemalza 4 au 6 hata usijisumbue wanahitaj Techical certificates level 4 au level 5.
 
Hello wakuu,
Leo ni tarehe ya mwisho kuapply diploma, mimi nataka kuapply diploma ya afya pale UDOM ila nimekitafuta chuo kwenye website ya kuapply ya NACTE sijakiona....Na website yao haina system ya kuapply diploma. Naombeni Msaada tafadhali.
Ingia Google andika UDOM online application, Juu kabisa utaona website yao deal nao mbona panajielekeza vzuuur.
 
Back
Top Bottom